Mimi Evarist Chahali namtafuta rafiki yangu aitwaye Diee Mkangwa.Tulisoma wote shule ya msingi Kipampa,iliyopo Ujiji,Kigoma kati ya mwaka 1979 hadi 1981.Mdogo wake alikuwa anaitwa Kole Mkangwa na mwingine ni Madoo Mkangwa.Asili yao ni Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (enzi hizo Zaire).
No comments:
Post a Comment